emygeorge.blogspot.com

Monday, 8 August 2016

wazazi walimu wa kwanza wa watoto

 Wazazi wanabidi kuelewa majukumu yao.-- baba na mama lazima wawe walimu wa kwanza wa watoto wao. kwasababu tunafahamu kabisa kuwa dunia hii imejaa mitego ya kila aina ambayo itawanasa vijanwatu wengi bado wanavutwa na maisha ya ubinafi wakifuata misisimko ya nje tu yaani kutaka sana vu vinavyo furahisha nafsi.
ni vigumu kwa vijana wengi wa leo kutambua mwisho wa njia zetu katika kila kitu tunachofanya huku tukitegemea kuwa mwisho wa yote itakuwa ni furaha tu.
Kuendekeza uchu wa chakula na tamaa nyingine za mwili zinawakumba vijana wengi wa leo na wazazi hawana budi kufahamu hali hii mapema kwamba kwa watoto wao lazima wapambane na mivuto iliyomo katika ulimwengu huu ambapo kuna kuhatarisha uhai wao katika ulimwengu huu nahata ule ujao
Hvyo maandalizi ya kumkinga mtoto juu ya majaribu ya dunia hii yanaanza kabla ya hata kuzaliwa kwakeili aweze hasa kuapamba vizuri na kuushinda uovu uliomo katika ulimwengu huu .

Kulea watoto katika njia saa ni mpango wa Mungu- wajibu mkuu na wenye nguvu unawakalia wazazi wote ili kuwaandaa watoto wao ili kushi katika ulimwengu huu.na hivyo kuwa katika msitari sahii wa kuwatendea mema na si mabaya hasa wale ambao wanahusiana nao.

Sasa wazazi wote hawana budi kuwajibika kwanguvu wote yaani kutoa muda wao mwingi ili kuhakikisha wakaua katika katika njia sahii na ninaamini kuwa wewe kama mzazi au mzazi mtarajiwa ni vema kulielewa ilikuwa wakristo bora.
katika kulea watoto wazazi inabidi washirikiane na mbingu katika malezi ya watoto wao na hii ni katika maombi na kutenda kazi katika jambo hili.

je, wanandoa waweza kushiriki katika hili? mfano mzuri unapatikana kwa Zakaria na Elizabeth ambao walitakiwa kuhusika moja kwa moja katika malezi ya Yohana ambaye alitakiwa kuandaa ujio wa Kristo Yesu.
Yohana alikuwa ni mtoto wa uzee wao na akipatika sawa kwa njia ya muhujiza ila jambo hili halikuchukua nafasi kubwa sana kwao. Wao walimchukua na kwenda naye mahali ambapo hatakuwa na mivuto mikubwa ya kidunia ili kujenga tabia iliyo njema yenye kufaa sana katika maisha ya mbeleni katika utumishi
Wazazi wanapaswa kuwashikiria watoto kama zawadi kutka kwa Mungu waliyopewa ili kuwa andaa kwa ajili ya umilele, hivyo kama wazazi inabidi tuwalee watoto katika hofu na upendo wa Mungu.

Uamsho kwa Wazazi- ni wakati wa wazazi kuamka katika usingizi wa Kiroho na kuwafanya watoto wao kumjua Kristo, na ili ni lazima lifanyike mapema kabla ibilisi hajapanda mbegu ya uasi ndani yao. nakutokufanya hivyo dhambi inwaotea mlangoni wazazi wote.
wazazi wanahitajika kushirikia katika roho ya upole katika kulea watoto wao.
Hii itawapasa kuangalia neno laMungu kama kiongozi wao mkuu.






   
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

0 comments:

Post a Comment

text

time

FACEBOOK PAGE

like on facebook

VISITORS

Powered by Blogger.

Recent Comments

Social Icons

Comment

Our visitors


'; /* * * DON'T EDIT BELOW THIS LINE * * */ (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
'; // required: replace example with your forum shortname /* * * DON'T EDIT BELOW THIS LINE * * */ (function () { var s = document.createElement('script'); s.async = true; s.type = 'text/javascript'; s.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/count.js'; (document.getElementsByTagName('HEAD')[0] || document.getElementsByTagName('BODY')[0]).appendChild(s); }());