emygeorge.blogspot.com

Tuesday, 27 September 2016

kuhusu dalili mojawapo ya matukio ya siku za mwisho

lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwepo nyakati za hatari. maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha , wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, wasiopenda wa kwao, wasiotaka suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakli, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.
 2 TIMOTHY 3:1-5


Tujiulize kama wanadamu tuahusika sehemu gani katika maadiko haya
 jiweke upande wa Kristo ili uwe salama . ni wakati wa mwisho
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

0 comments:

Post a Comment

text

time

FACEBOOK PAGE

like on facebook

VISITORS

Powered by Blogger.

Recent Comments

Social Icons

Comment

Our visitors


'; /* * * DON'T EDIT BELOW THIS LINE * * */ (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
'; // required: replace example with your forum shortname /* * * DON'T EDIT BELOW THIS LINE * * */ (function () { var s = document.createElement('script'); s.async = true; s.type = 'text/javascript'; s.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/count.js'; (document.getElementsByTagName('HEAD')[0] || document.getElementsByTagName('BODY')[0]).appendChild(s); }());