Mwanangu usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu. Maana zitakuongezea wingi wa siku na miaka ya uzima na amani. Rehema na kweli zisifarakane nawe; Zifunge shingoni mwako, Ziandike juu ya kibao cha moyo wako. ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu
mithali 3:1-3
yatubidi kuiangalia sheria ya Mungu kwani haijapitwa na wakati na hapo tutaweza kudai ahadi za Mungu kwa nyongeza pitia zaburi 1:1-3 .tudumu katika kuomba ili Mungu atupe uwezo wa kutii sheria yake. yaani moyo wa nyama

0 comments:
Post a Comment
text